Dear bwana Maiko makanika
Hii ni E-mail yangu ya kwanza kuandika
imebidi ju calls zangu umedinda kushika
I guess ni venye hujui hiyo namba
pia mi hufanya hivo, sijashtuka
Oh, pole, mi huwa na story mob sana
but acha niget to the point sasa_
Nataka tu kukuthank ju ya jana.
Checki, Joe amekuwa akinilenga sana
Imagine hata bedroom alihama bana
ye huja kwangu tu baridi ikizidiana ...
Jana hata hata nilimforce ku ..ku..kufanya
Ju skuizi hana psyche, I guess anahanya.
Nikaperuse contacts zake, Nione nani alimsanya
Usimshow pliz, atazusha ju alinikanya
anyway, nliona kila number kwa phone book naijua
ispokua yako na "Shiro dawa ya mende na panya "
Haiwess kuwa huyo mh! We ungemhanya?
then ukamkol venye tuna ...venye adults hufanya
mkabonga kiasi, sijui venye mliambiana
Aki akaget overdrive, nikaa ulimfix Turbo charger
Ilikuwa nare, leo hata kutembea ni shida
nikashangaa ni ni umemshow, ni promo ameshinda?
then ikanihit, si we ni makanika!!!
ni gari unaorganise ..hahaaa nimekushika
aki I guess ni kunisurprise alikuwa anataka,
Woiyeee hiyo ni sweeeet, hata... no wonder ..
Messo zako nayeye Ziuwa locked. Haziwezi someka
Ni messo za m-pesa!
na hii time ye huja usiku ni gari mnatafutanga yenyewe anataka?
bytha thanks ju we hukol kujua ama amefika ...
We Baadaye, tukipatana ki beer Ntakushika_
...Eeeh na si manzi yako unampenda manze,
mpaka email yako ni jina yake!!
Bye, na usiambie Joe ulicontactiwa na wife wake ...
No comments:
Post a Comment