Mi huwa na mistari deadly
wao huniita slim shady
wengi huniskiza wachache hawanipendi
sijali, wembe ni ngovo kamba ni fifty
we jisort tu ntakuchimbia kaburi
Coffin ya maneno na vina ka misumari
Atleast utakuwa umetoa fala mmoja hii nchi
ju nimechoka kutembea jobless kwa hii jiji
Nimechoka kutomake doh na nina vipaji
politics sawa tumeachia hawa matajiri
wanaenda job na mapassat kutoka kwa ma kasiri
Wanatusanya doh manze na hata si kisiri
Si walidai pesa kwa wazee mayout wafanye kazi??
How come then hawaezi tuajiri
Nimesoma foreign ideologies kwa kichwa zimesitiri
na bado poverty inaniathiri
siezi enda na mat peak time 120
Lazima ningoje ishuke 30,40,50
Na bado nina dreams za Hummer ama merc e 220
Niwe Nacruise thika road maspeed za 150
Ubaya hizi dreams zohusmashiwa na reality
ati ata ndengu chapati za 40 sipati
No comments:
Post a Comment