Nimekaa chini nikakumbuka boy
anaitwa Ngartia
mistari haitoshi kudescribe hii kijana
naweza anza na vile ye hupenda
accent ya kiborana
anabonga hiyo na me namwaga yangu
ya kiindia
saa zingine si hata hubonga kirussia
na hii ufala yote tulianzanga zamani
sana
zile mazamani za wakati ya drama .
tumetoka mbali ndo maana hapa
unatuona
haushangai hata vile tunashare
majina?
hata kwa twitter ndie alikuwa my first
follower
na hata sijaanza kuongea stori za
blogger.
nampatia time na nione kule atafika
si ati namdoubt, ni ati naogopea
future,
nashindwa ka iko ready kumeet iyo
sura.
kijana ataanza na majokes hautafunga
kinyua
hadi afungue book na uangalie hizo
paper.
ndo utarealise ulikuwa unacheka na
genius
genius mwenye huenda interview na
akalla
hata steve jobs hivo tu ndivo alianza.
ka haujakutana na huyu asylum
member
kuja kwangu naweza kuwahi number
ka una pen anza kuandika , 071 ...
naona hauandiki.but ukimtaka
hautamkosa place watu wanacheka.
shout NGARTIA!!!
©VICTOR BRIAN
No comments:
Post a Comment